Treni yapata ajali Kibaha | LUKAZA BLOG

Treni yapata ajali Kibaha

Treni imepata ajali. Ajali hiyo imetokea maeneo ya Ruvu kwenda Ngeta(Kikongo), Kibaha mkoani Pwani. Ilikuwa inaelekea Dar. Ni ile Tre...

Treni imepata ajali.

Ajali hiyo imetokea maeneo ya Ruvu kwenda Ngeta(Kikongo), Kibaha mkoani Pwani. Ilikuwa inaelekea Dar. Ni ile Treni mpya (Deluxe)

=========

Treni ya abiria ya Delux iliyokuwa ikitoka Kigoma kwenda Dar es Salaam imeanguka eneo la Ruvu mkoani Pwani.

Msemaji wa TRL, Medladjy Maez amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo aliyosema hali ni mbaya iliyotokea saa 9:40 alasiri.

Kamanda wa Polisi mkoani Pwani, Boneventura Mushongi amesema ni kweli ajali na mabehewa manane yameanguka na watu watano wamejeruhiwa.Credit JamiiForums
IMG_2765.JPG
IMG_2766.JPG
1485696947474.jpg1485696955645.jpg1485696961811.jpg1485696977501.jpg

Related

Hot Stories 2101947261074302361

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item