TMA yawaandaa wanahabari kupokea mwelekeo msimu wa mvua za masika 2017 | LUKAZA BLOG

TMA yawaandaa wanahabari kupokea mwelekeo msimu wa mvua za masika 2017

Mkurugenzi Mtendaji wa Hali ya Hewa Tanzania (TMA), Dk. Agness Kijazi akizungumza alipokuwa akifungua warsha ya wanahabari kuhusu mwelek...

Mkurugenzi Mtendaji wa Hali ya Hewa Tanzania (TMA), Dk. Agness Kijazi akizungumza alipokuwa akifungua warsha ya wanahabari kuhusu mwelekeo wa msimu wa mvua za masika kwa kipindi cha mwezi Machi hadi Mei 2017 iliyofanyika Kibaha, mkoani Pwani.
Mkurugenzi Mtendaji wa Hali ya Hewa Tanzania (TMA), Dk. Agness Kijazi akizungumza alipokuwa akifungua warsha ya wanahabari kuhusu mwelekeo wa msimu wa mvua za masika kwa kipindi cha mwezi Machi hadi Mei 2017 iliyofanyika Kibaha, mkoani Pwani. Kushoto ni Mkurugenzi Huduma za Utabiri TMA, Dk. Hamza Kabelwa na Meneja Kituo Kikuu cha Utabiri Mamlaka ya Hali ya Hewa (TMA), Samwel Mbuya (kulia).
Mkurugenzi Mtendaji wa Hali ya Hewa Tanzania (TMA), Dk. Agness Kijazi akizungumza leo kwenye warsha ya wanahabari kuhusu mwelekeo wa msimu wa mvua za masika kwa kipindi cha mwezi Machi hadi Mei 2017. Kushoto Mkurugenzi Huduma za Utabiri TMA, Dk. Hamza Kabelwa. Tarehe 28 Februari 2017 TMA inatarajia kutoa taarifa ya utabiri wa mwelekeo wa msimu wa mvua za masika kwa kipindi cha mwezi Machi hadi Mei 2017.
Sehemu ya wanahabari kutoka vyombo mbalimbali vya habari wakiwa warsha kuhusu mwelekeo wa msimu wa mvua za masika kwa kipindi cha mwezi Machi hadi Mei 2017 iliyofanyika Kibaha, mkoani Pwani.
Sehemu ya wanahabari kutoka vyombo mbalimbali vya habari wakiwa warsha kuhusu mwelekeo wa msimu wa mvua za masika kwa kipindi cha mwezi Machi hadi Mei 2017 iliyofanyika Kibaha, mkoani Pwani.
Mkurugenzi Mtendaji wa Hali ya Hewa Tanzania (TMA), Dk. Agness Kijazi (kushoto) akijibu maswali kwa wanahabari mara baada ya mada mbalimbali kuwasilishwa.
Picha ya pamoja kwa baadhi ya washiriki wa warsha kuhusu mwelekeo wa msimu wa mvua za masika kwa kipindi cha mwezi Machi hadi Mei 2017 iliyofanyika Kibaha, mkoani Pwani.

Related

kitaifa 4078148050466322392

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item