MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AKUTANA NA WAZIRI UMMY MWALIMU NA KUFANYA NAE MAZUNGUMZO | LUKAZA BLOG

MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AKUTANA NA WAZIRI UMMY MWALIMU NA KUFANYA NAE MAZUNGUMZO

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa  Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Waziri wa Afya, Maendeleo ya  Jamii, Jinsia,...

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa  Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu pamoja na Katibu Mkuu Wizara ya Afya Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Bi. Sihaba Nkinga ofisini kwake, Ikulu jijini  Dar es Salaam. (Picha kwa Hisani ya Ofisi ya Makamu wa Rais)

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu (kushoto)  na Katibu Mkuu Wizara ya Afya Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Bi. Sihaba Nkinga (kulia) ofisini kwake, Jijini  Dar es Salaam. (Picha kwa Hisani ya Ofisi ya Makamu wa Rais)

Related

Hot Stories 5703326879105254978

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item