MFUMO WA MANUNUZI YA UMEME KUPITIA LUKU KUZIMWA JUMAPILI HII | LUKAZA BLOG

MFUMO WA MANUNUZI YA UMEME KUPITIA LUKU KUZIMWA JUMAPILI HII

NA K-VIS BLOG SHIRIKA la Umeem Tanzania, (TANESCO), linawataarifu wateja wake na umma kwa ujumla kuwa Jumapili Machi 19, 2017 kuanzia ...

NA K-VIS BLOG
SHIRIKA la Umeem Tanzania, (TANESCO), linawataarifu wateja wake na umma kwa ujumla kuwa Jumapili Machi 19, 2017 kuanzia saa 4 usiku
mfumo wa ununuzi wa umeme kupitia LUKU utazimwa hadi Jumatatu Machi 20, 2017.


Taarifa ya TANESCO iliyotolewa leo Machi 17, 2017 na kusambazwa kwa vyombo vya habari imesema, lengo kuboresha mfumo huo wa LUKU katika kuhifadhi taarifa za Wateja, (Database). Taarifa hiyo iliyotolewa na Ofisi ya Uhusiano TANESCO Makao Makuu pia imesema uboreshwaji wa mfumo huo utasaidia katika manunuzi ya umeme kupitia LUKU.

Aidha TANESCO imewaomba Wananchi hususan wateja wake , kufanya manunuzi ya LUKU ya kutosha kabla ya saa 4 usiku, Jumapili, na inawaomba radhi kwa usumbufu utakaojitokeza.

Related

Hot Stories 2643792025654591801

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item