News Alert:Kituo cha Mafuta Tegeta chawaka moto asubuhi hii | LUKAZA BLOG

News Alert:Kituo cha Mafuta Tegeta chawaka moto asubuhi hii

Kituo kimoja cha mafuta kilicho karibu na benki ya NBC na Chuo cha Amazon Tegeta kimewaka moto asubuhi hii mara baada ya gari lililokuwa ...

Kituo kimoja cha mafuta kilicho karibu na benki ya NBC na Chuo cha Amazon Tegeta kimewaka moto asubuhi hii mara baada ya gari lililokuwa likishusha mafuta kituoni hapo kuwaka moto. Chanzo cha gari kulipuka na kusababisha kituo hiko cha mafuta cha mafuta kilichopo tegeta kuwaka moto bado hakijajulikana.Taarifa zaidi zitakujia mara tu baada ya kupatikana

Related

Hot Stories 8987874673518876053

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item