UPDATES: MSIBA WA INNOCENT WAPALILA, KAKA WA MARIACONSOLATA NA HONEST WAPALILA | LUKAZA BLOG

UPDATES: MSIBA WA INNOCENT WAPALILA, KAKA WA MARIACONSOLATA NA HONEST WAPALILA

Mwili wa Marehemu utawasili nchini kutokea  Leeds, Uingereza  siku ya Ijumaa tarehe 31/03/2017 majira ya saa nne usiku. Taratibu z...Mwili wa Marehemu utawasili nchini kutokea Leeds, Uingereza siku ya Ijumaa tarehe 31/03/2017 majira ya saa nne usiku.

Taratibu zote za mazishi zitafanyika tarehe 01/04/2017 Mbezi Beach, Tangi bovu jijini Dar es salaam mtaa wa Almasi nyumba namba 7, Kuanzia saa tatu asubuhi.

Ibada ya kuaga mwili wa marehemu itafanyika katika Kanisa Katoliki la Mt. Gasper, Mbezi Beach, Tangi bovu jijini Dar es salaam.

Mazishi yamepangwa kufanyika Jumamosi 01/04/2017 katika Makaburi ya Kondo, Bahari Beach jijini Dar es salaam. 

Related

Kijamii 839857251816330159

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item