Kingdom Heritage Presents Discover Your Potential | LUKAZA BLOG

Kingdom Heritage Presents Discover Your Potential

Kampuni ya KINGDOM HERITAGE imeandaa eventninaitwa "Discover Your Potential" ni event yenyewe wazungumzajin wahamasishaji ka...


Kampuni ya KINGDOM HERITAGE imeandaa eventninaitwa "Discover Your Potential" ni event yenyewe wazungumzajinwahamasishaji katika mambo ya mipango,maendeleo,ndoto na maono na ujasiliamali.


Watakuwa wakizungumza mambo kadhaa yatakayotukumbusha kutambua uwezo wetu tulio nao kila mmoja wetu kwa ulivyo na mahala ulipo na namna ya kuutumia uwezo huo ili kufikia Malengo,Mipango,Ndoto na Maono kila mmoja.


Ni Jumapili wiki hii ya 30 April 2017 katika Kanisa la Living Water Centre Kawe Kuanzia saa 9:00 mchana.Usipange kukosa! ni Bureee!

Related

kitaifa 8040152670718072

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item