Mbunge wa Mtama Mh Nape akutana na wazee maarufu wa jimbo lake kuzungumzia maendeleo yao kwa pamoja | LUKAZA BLOG

Mbunge wa Mtama Mh Nape akutana na wazee maarufu wa jimbo lake kuzungumzia maendeleo yao kwa pamoja

Mbunge wa jimbo la Mtama,Mh Nape Nnauye akiwasili katika kikao kati yake na wazee Maarufu wa Kata ya Mtama na Majengo A, kikilchofanyik...

Mbunge wa jimbo la Mtama,Mh Nape Nnauye akiwasili katika kikao kati yake na wazee Maarufu wa Kata ya Mtama na Majengo A, kikilchofanyika kwenye ukumbi wa kanisa katoliki kijiji cha Majengo A huku akiwa ameongozana na Katibu Msaidizi wa Wilaya ya Lindi Vijijini Bw. Shaibu Bakari Ngatiche .

Mbunge wa jimbo la Mtama,Mh Nape Nnauye akizungumza na Wazee maarufu wa Kata ya Mtama na Majengo A ,katika kikao chao kilichofanyika katika  ukumbi wa kaniasa la Katoliki,Mtama Lindi Vijijini.Mh Nape alizungumza  mambo mengi ikiwemo na kuwaomba Wana Mtama kusameheana kwa mambo yote  mabaya yaliyokuwa yametokea na kuanza ukurasa mpya wa kujenga undugu wa  kupendana na kushirikiana katika mampo mbalimbali,amewaomba kuziweka  kando itikadi zao za kisiasa na badala yake wakae kwa umoja wao wafirie  namna ya kuliletea maendeleo jimbo la Mtama.

"Ndugu zangu,Wazee Wangu siasa kwa sasa zimekwisha,niwaombe tu,itikadi zetu za kisiasa tulizokuwa nazo tuziweke kando,tuanze upya kwa pamoja kuijenga Mtama yetu ili ipige hatua katika suala zima la Maendeleo,na mie kwa vile nimepata nafasi ya kuhakikisha jimbo la Mtama linapata maendeleo,basi ntahakikisha yale yote niliyo yaahidi wakati wa kampeni,ndani ya miaka mitano niwe nimemaliza ama kuyakupunguza kwa kiasi kikubwa",alisema Nape.Picha na MichuziJr.
 Baadhi ya wazee wakimsikiliza Mbunge wa jimbo la Mtama Mh. Nape Nnauye  alipokuwa akizungumza nao mambo mbalimbali ya kuhakikisha jimbo la Mtama na kusini kwa ujumla inaanza kupiga hatua kimaendeleo
 Baadhi ya akina Mama waliofika kumsikiliza Mbunge wao
 Mmoja wa Wananchi wa jimbo la Mtama akielezea moja ya changamoto ndani ya jimbo hilo,ambalo amemuomba Mh Nape alifanyie kazi
Mh.Nape akiwa katikati ya Wazee Maarufu wa jimbo la Mtama wakisubiri chakula cha pamoja
Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Lindi vijijini Bw. Mohamed Nanyali akizungumza na  wanachama wa CCM na wananchi wakati akimkaribisha Mbunge wa jimbo hilo  Mh. Nape Nnauye ili kuzungumza na wapiga kura wake kutoka maeneo  mbalimbali wakiwemo Wazee maarufu wa jimbo hilo. 

Related

kitaifa 7215515721749573055

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item