Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo amuombea Rais Dkt John Pombe Magufuli leo | LUKAZA BLOG

Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo amuombea Rais Dkt John Pombe Magufuli leo

Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es salaam Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo   akiongoza maombi kumuombea Rais wa Jamhuri ya Muun...

Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es salaam Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo  akiongoza maombi kumuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli baada ya ibada ya Pasaka katika Kanisa la Mtakatifu Petro jijini Dar es salaam leo Jumapili Aprili 16, 2016.
Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es salaam Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo  akimuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli baada ya ibada ya Pasaka katika Kanisa la Mtakatifu Petro jijini Dar es salaam leo Jumapili Aprili 16, 2016. PICHA NA IKULU

Related

kitaifa 1250701235147048523

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item