UBA YATOA VYETI KWA WADAU WALIOPATA RUZUKU ZA MRADI | LUKAZA BLOG

UBA YATOA VYETI KWA WADAU WALIOPATA RUZUKU ZA MRADI

  Mkurugenzi wa Bank ya UBA Tanzania, Peter Makau akizungumza na wanufaika wa maradi wa kuandika mawazo ya biashara ambao wapo hapa nchi...

 Mkurugenzi wa Bank ya UBA Tanzania, Peter Makau akizungumza na wanufaika wa maradi wa kuandika mawazo ya biashara ambao wapo hapa nchini juu ya namna watakvyoweza kushirikiana na Benki ya UBA katika kukuza biashra zao mpaka nje ya mipaka ya Tanzania

 Mkurugenzi wa Bank ya UBA Tanzania, Peter Makau akikabidhi cheti kwa Hurbert  Mwashiuya juu kama mnufaika wa mradi mara baada ya kupata ruzuku 

 Mkurugenzi wa Bank ya UBA Tanzania, Peter Makau akikabidhi  cheti kwa Bi , Aika Mtei kma mmoja wa wanufaika wa ruzuku mara baada ya kuandika mradi juu ya biashara katika mtandao

 Mkurugenzi wa Bank ya UBA Tanzania, Peter Makau akiwaeleza watendaji wa Benki ya UBA juu ya umuhimu wa kuwasaidia wanufaika hao hili waweze kuwa mfano kwa wengine

Mkurugenzi wa Bank ya UBA Tanzania, Peter Makau akiwa katika picha ya pamoja na wanufaika na baadhi ya watendaji wa beki hiyo

Related

Hot Stories 3414565311533117106

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item