Wanafunzi wa kidato cha tatu walioingia kwenye fainali za mashindano ya ICT nchini watembelea ofisi za Airtel | LUKAZA BLOG

Wanafunzi wa kidato cha tatu walioingia kwenye fainali za mashindano ya ICT nchini watembelea ofisi za Airtel

  Wanafunzi hao wa kidato cha tatu kutoka shule mbalimbali walioingia kwenye fainali za mashindano ya ICT nchini yanayosimamiwa na UCSAF ...

 Wanafunzi hao wa kidato cha tatu kutoka shule mbalimbali walioingia kwenye fainali za mashindano ya ICT nchini yanayosimamiwa na UCSAF (Universal Communications Services Access Funds)  wakitumia komputa kubwa iliwekwa kwaajili ya wateja katika duka la Airtel Makao Makuu kuangalia bidhaa na huduma mbalimbali wakati walipotembelea Airtel makao makuu kujifunza zaidi kuhusu technologia ya mawasiliano.
 Meneja Huduma kwa Jamii wa Airtel Bi  Hawa Bayumi akiongea na wanafunzi  wa kidato cha tatu kutoka shule mbalimbali walioingia kwenye fainali za mashindano ya ICT nchini yanayosimamiwa na UCSAF (Universal Communications Services Access Funds)  wakati walipotembelea Airtel makao makuu kujifunza zaidi kuhusu technologia ya mawasiliano.
 Afisa Huduma kwa wateja wa Airtel, Stephen Makongoro akiwaonyesha baadhi ya wanafunzi jinsi ya kupata huduma mbalimbali kupitia komputa kubwa iliyopo katika duka la kisasa la Airtel wakati wanafunzi hao wa kidato cha tatu kutoka shule mbalimbali walioingia kwenye fainali za mashindano ya ICT nchini yanayosimamiwa na UCSAF (Universal Communications Services Access Funds) walipotembelea Airtel makao makuu kujifunza zaidi kuhusu technologia ya mawasiliano
Kaimu Mkuu wa kitengo cha Uendeshaji wa Mitambo wa Airtel , Frank Munale akiongea na wanafunzi  wa kidato cha tatu kutoka shule mbalimbali walioingia kwenye fainali za mashindano ya ICT nchini yanayosimamiwa na UCSAF (Universal Communications Services Access Funds)  wakati walipotembelea Airtel makao makuu kujifunza zaidi kuhusu technologia ya mawasiliano.  Akishuhudia ni Meneja Huduma kwa Jamii wa Airtel Bi  Hawa Bayumi

Related

Hot Stories 6979062937616015634

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item