WANACHAMA WA SHIRIKISHO LA VYAMA VYA TIBA ASILI TANZANIA (SHIVYATIATA) ILALA WAKUTANA KUJADILI MASUALA MBALIMBALI YA VYAMA VYAO JIJINI DAR ES SALAAM | LUKAZA BLOG

WANACHAMA WA SHIRIKISHO LA VYAMA VYA TIBA ASILI TANZANIA (SHIVYATIATA) ILALA WAKUTANA KUJADILI MASUALA MBALIMBALI YA VYAMA VYAO JIJINI DAR ES SALAAM

Mwenyekiti wa Shirikisho la Vyama vya Tiba Asili Tanzania (Shivyatiata), Mkoa wa Dar es Salaam, Juma Luwongo (katikati), akizungumza na w...

Mwenyekiti wa Shirikisho la Vyama vya Tiba Asili Tanzania (Shivyatiata), Mkoa wa Dar es Salaam, Juma Luwongo (katikati), akizungumza na wajumbe wa mkutano wa shirikisho hilo wilayani Ilala, wakati wa mkutano wao wa kujadili masuala mbambali yahusuyo vyama vyao pamoja na shirikisho hilo, jijini Dar es Salaam hivi karibuni. Kulia ni Katibu wa Shivyatiata, Wilaya ya Ilala, Johanes Chamushala na kushoto ni Katibu Mwenezi wa Shivyatiata, Ilala, Venance Mwamunyange. (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)
Baadhi ya wajumbe wa mkutano huo, wilayani Ilala wakimsikiliza Mwenyekiti wa Shivyatiata, Mkoa wa Dar es Salaam, Juma Luwongo wakati akizungumza nao kwenye mkuano huo, wa kujadili masuala mbambali yahusuyo vyama vyao pamoja na shirikisho hilo, jijini Dar es Salaam hivi karibuni. Kulia ni Katibu wa Shivyatiata, Wilaya ya Ilala, Johanes Chamushala. 
Baadhi ya wajumbe wa mkutano huo, wilayani Ilala wakisikiliza hoja na michango mbalimbali iliyokuwa ikitolewa na baadhi wa wajumbe wenzao kwenye mkuano huo, wa kujadili masuala mbambali yahusuyo vyama vyao pamoja na shirikisho hilo, jijini Dar es Salaam.
Mmoja wa wajumbe wa mkutano huo, wilayani Ilala, akitoa mchango wake katika mkutano huo.
Mmoja wa wajumbe wa mkutano huo, wa Shivyatiata wilayani Ilala, akitoa mchango wake katika mkutano huo. 
Mmoja wa wajumbe wa mkutano huo, wilayani Ilala, akitoa mchango wake katika mkutano huo. 
Wajumbe wakisikiliza michango na hoja mbalimbali zilizokuwa zikiolewa katika mkutano huo, wa Shivyatiata wilayani Ilala.  
Katibu wa Shivyatiata, Wilaya ya Ilala, Johanes Chamushala, akifafanua jambo kwa wajumbe wa mkutano huo. 
Mratibu wa Tiba Asili na Tiba Mbadala Wilaya ya Ilala, Sophia Ntomola, akizungumza wakati akiwasilisha moja ya mada katika mkutano huo. 
Wajumbe wakimsikiliza Mratibu wa Tiba Asili na Tiba Mbadala Wilaya ya Ilala, Sophia Ntomola, wakati akijibu hoja mbalimbali zilizokuwa zikitolewa na wajumbe wa mkutano huo. 
Mratibu wa Tiba Asili na Tiba Mbadala Wilaya ya Ilala, Sophia Ntomola, akijibu hoja mbalimbali zilizokuwa zikitolewa na wajumbe kwenye mkutano huo. 
Mwenyekiti wa Shirikisho la Vyama vya Tiba Asili Tanzania (Shivyatiata), Mkoa wa Dar es Salaam, Juma Luwongo (wa tatu kulia), akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa mkutano huo, wilayani Ilala, mara baada ya kumalizika kwa mkuano huo.

Related

Hot Stories 7051798428321927828

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item