Airtel yatoa darasa siku ya career day chuo cha TIA kurasini | LUKAZA BLOG

Airtel yatoa darasa siku ya career day chuo cha TIA kurasini

  Afisa Masoko wa kampuni ya Airtel Kitengo cha Wanafunzi, Prosper Mwanda akitoa elimu kwa Wanafunzi wa Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA)...

 Afisa Masoko wa kampuni ya Airtel Kitengo cha Wanafunzi, Prosper Mwanda akitoa elimu kwa Wanafunzi wa Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA), kuhusu fursa na bidhaa mbalimbali zinazotolewa na kampuni hiyo, wakati wa Siku Maalum ya Taaluma (Career Day), iliyofanyika katika taasisi hiyo Kurasini jijini Dar es Salaam jana.
 Afisa Masoko wa kampuni ya Airtel Kitengo cha Wanafunzi, Prosper Mwanda (mwenye miwani),  akifafanua jambo kwa wateja waliotembelea Banda la kampuni hiyo, wakati wa Siku Maalum ya Taaluma (Career Day), iliyofanyika katika Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA), iliyopo Kurasini jijini Dar es Salaam jana.

Related

kitaifa 5897803478786984606

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item