JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI(EAC)YAWAANDALIA HAFLA FUPI WAFANYAKAZI WAPYA JIJINI ARUSHA | LUKAZA BLOG

JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI(EAC)YAWAANDALIA HAFLA FUPI WAFANYAKAZI WAPYA JIJINI ARUSHA

Baadhi ya wafanyakazi wapya wa Jumuiya ya Afrika Mashariki(EAC) wakiwa na furaha  katika hafla ya kuwakaribisha iliofanyika makao makuu ...

Baadhi ya wafanyakazi wapya wa Jumuiya ya Afrika Mashariki(EAC) wakiwa na furaha  katika hafla ya kuwakaribisha iliofanyika makao makuu jijini Arusha.

Wafanyakazi wapya wa Jumuiya ya Afrika Mashariki(EAC) wakijitambulisha  katika hafla ya kuwakaribisha iliofanyika makao makuu jijini Arusha.

Mmoja wa wafanyakazi wa EAC,Beata Mukabaranga(kushoto)akikaribishwa na kupokelewa na msimamizi wake katika eneo la kazi.

Mratibu wa Habari katika Sekretariat ya EAC,Florian Mutabazi(kushoto),Afisa Habari Mwandamizi wa bunge la Eala,Bob Odiko na wadau wengie wakiwa katika hafla ya kuwakaribisha wafanyakazi wapya wa jumuiya hiyo.


Mkurugenzi mpya wa Miundombinu wa EAC,Kamugisha Kazaura akitoa neno la shukrani

Wadau wa EAC wakipata mapochopocho

Related

kitaifa 5665362973582596698

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item