News Alert:Tundu Lissu apewa dhamani asubuhi ya Leo | LUKAZA BLOG

News Alert:Tundu Lissu apewa dhamani asubuhi ya Leo

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuachia leo asubuhi kwa dhamana ya Shilingi milioni 10 Rais wa TLS, Tundu Lissu Tundu Antipas Mug...


Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuachia leo asubuhi kwa dhamana ya Shilingi milioni 10 Rais wa TLS, Tundu Lissu

Tundu Antipas Mughwayi Lissu amepata dhamana baada ya ombi la Mawakili wa Serikali kuomba Rais huyo wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika(TLS) kunyimwa dhamana kutupiliwa mbali na Wilbard Mashauri.

Related

Hot Stories 7580473414602934060

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item