SHIRIKA LA POSTA TANZANIA WAAHIDI MAKUBWA BAADA YA KUJISHINDIA TUZO KWENYE MAONYESHO YA SABASABA | LUKAZA BLOG

SHIRIKA LA POSTA TANZANIA WAAHIDI MAKUBWA BAADA YA KUJISHINDIA TUZO KWENYE MAONYESHO YA SABASABA

TPC yashinda tuzo ya taasisi za kutoa huduma. Shirika la Posta Tanzania (TPC) limeshinda tunzo ya maonyesho ya Sabasaba kwa taasisi za k...

TPC yashinda tuzo ya taasisi za kutoa huduma. Shirika la Posta Tanzania (TPC) limeshinda tunzo ya maonyesho ya Sabasaba kwa taasisi za kutoa huduma. Tunzo hiyo alibabidhiwa Mkurugenzi Mtendaji wa TPC Deo Kwiyukwa na Rais wa Jamuhuri ya Muungano Dr. John Pombe Magufuli kwenye viwanja vya maonyesho ya Sabasaba.Picha na Othman Michuzi Media Group

Related

Hot Stories 3654707412820583343

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item