WAZIRI MWIJAGE AIPONGEZA PPF KWA KUWEKEZA KWENYE VIWANDA | LUKAZA BLOG

WAZIRI MWIJAGE AIPONGEZA PPF KWA KUWEKEZA KWENYE VIWANDA

 Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Charles Mwijage, (kulia), akipeana mikono na Meneja Uhusiano wa PPF, Bi. Lulu Mengele alipotembelea...

 Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Charles Mwijage, (kulia), akipeana mikono na Meneja Uhusiano wa PPF, Bi. Lulu Mengele alipotembelea banda la Mfuko huo kwenye maonesho ya 41 ya biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam, kwenye viwanja vya Mwalimu Nyerere barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam, leo Julai 1, 2017.
 Waziri Mwijage a,kizungumza na wafanyakazi wa PPF kwenye banda la Mfuko huo.
 Waziri Mwijage akipeana mikono na Afisa Uendeshaji Mwandamizi wa PPF, Bi. Pauline Msanga
 Waziri Mwijage akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa PPF baada ya kutembelea banda lao
 Meneja Uhusiano wa PPF, Bi. Lulu Mengele, (kushoto), akitoa maelezo kwa Mkurugenzi wa Elimu kwa Mlipa Kodi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania, (TRA), Bw. Richard Kayombo alipotembela banda la Mfuko huo
 Wafanyakazi wa PPF wakiwahudumia wananchi waliotembela banda hilo
  Wafanyakazi wa PPF wakiwahudumia wananchi waliotembela banda hilo
Waziri Mwijage, akiagana na wafanyakazi wa PPF baada ya kutembelea banda hilo. Kulia ni Mkuu Kitengo cha Mawasilaino ya Serikali wizara ya Fedha na Mipango, Bw. Ben Mwaipaja.

Related

kitaifa 1032279057318443443

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item