Hatimaye "Seduce Me' By King Kiba Alikiba yafikisha Watazamaji 2,115,044 muda huu | LUKAZA BLOG

Hatimaye "Seduce Me' By King Kiba Alikiba yafikisha Watazamaji 2,115,044 muda huu

Mpaka Muda huu naandika post hii Video ya Mwanamuziki anayejiita Unstoppable KingKiba mwenyewe ya #SeduceMe imefikisha Watazamaji 2,11...

Mpaka Muda huu naandika post hii Video ya Mwanamuziki anayejiita Unstoppable KingKiba mwenyewe ya #SeduceMe imefikisha Watazamaji 2,115,044 ndani ya siku tatu tokea kuwekwa katika Mtandao wa video wa Youtube huku ikiendelea Kuwa namba moja ya video iliyotrend katika mtandao huo wa Youtube Nchini Tanzania na Nchini Kenya ikishikilia chat hio kwa siku tatu mfululizo tokea Kuachiwa Kwake.

Video hii ya @officialalikiba Imevunja rekodi Nchini Tanzania kwa kuwa na watazamaji wengi ndani ya Siku tatu tokea kuachiwa kwake. Seduce Me ni moja kati ya nyimbo ya Msanii Alikiba ambayo imeachiwa Mnamo Siku ya Ijumaa tarehe 26 August 2017 na kutokea kuteka hisia za watu wengi huku asilimia kubwa ya watu wakionekana katika mtandao wa kijamii wa Instagram wakijipost wakicheza nyimbo hii ya seduce me iliyoimbwa na Alikiba.

Mbali na watu mbalimbali kuandika hisia zao katika Mtandao wa Kijamii wa Instagram, Wanasiasa wengi kutokea Chama cha Mapinduzi hawakuwa nyuma kuelezea Hisia zao kutokana na Nyimbo hii inayoonekana kugusa kila rika la watu nchini na Nje ya Tanzania. Wanasiasa hao ni pamoja na Mbunge wa Chalinze Mh Ridhiwani Kikwete, Naibu waziri wa Afya Mh Kingwangallah, Mbunge Wa Nzega Mjini, Mh Hussein Bashe na wengine wengi huku asilimia kubwa ya watumiaji wa mitandao ya kijamii wakionekana kufurahishwa na nyimbo hiyo mpaka kuweka vipande vya nyimbo hio katika kurasa zao huku Mfanyabiashara Mkubwa nchini Mohamed Dewji maarufu kama Modewji akionekana kukoment katika post aliyoipost alikiba katika ukurasa wake wa Instagram wa Kuwashukuru Mashabiki wake kuwashukuru kwa kuifikisha Idadi ya Milioni 2

Related

Hot Stories 3420388904482125203

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item