"TWENZETU WASHINGTON DC " WATANZANIA KUFANYA RE-UNION LABOR DAY WEEKEND NDANI YA WASHINGTON DC !! | LUKAZA BLOG

"TWENZETU WASHINGTON DC " WATANZANIA KUFANYA RE-UNION LABOR DAY WEEKEND NDANI YA WASHINGTON DC !!

                                                            *#TWENZETU WASHINGTON D.C.#* Hii ndio Habari Ya Mijini Kote U.S.A. Kila...


                                                            *#TWENZETU WASHINGTON D.C.#*

Hii ndio Habari Ya Mijini Kote U.S.A. Kila kona habari kubwa imekuwa "DMV-KAMA ZAMANI". Wana DMV wanayofuraha kubwa Kuwakaribisha Watanzania Wote kutoka kila Pande za America Kujumuika Pamoja Kama ilivyokuwa Desturi yetu Miaka ya Nyuma.

Soma Ratiba Nzima kujua Mpango Mzima. Kumbuka; Ukishafika tu hapa Washington DMV, Wageni Wote Chakula, Vinywaji vya aina zote na kiingilio ni "BURE".

Stay Tuned More Details to Come *"We Ain't Done Yet"*

#WashingtonDMV2017 #PositiveVIBESoNlyDMV#

Related

Kimataifa 4856921942907318271

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item