Uzinduzi Tawi la NMB Chamwino waja na neema ya madawati | LUKAZA BLOG

Uzinduzi Tawi la NMB Chamwino waja na neema ya madawati

Meneja wa NMB, Kanda ya kati, Straton Chilongola (kushoto) akimkabidhi msaada wa madawati mkuu wa Wilaya ya Chamwino Vumilia Nyamoga wakat...

Meneja wa NMB, Kanda ya kati, Straton Chilongola (kushoto) akimkabidhi msaada wa madawati mkuu wa Wilaya ya Chamwino Vumilia Nyamoga wakati wa ufunguzi wa tawi la benki ya Nmb, msaada huo wa madawati una thamani ya shilingi milioni 20. Mkuu wa Wilaya ya Chamwino Vumilia Nyamoga (watatu katikati) akikata utepe ikiwa ni ishara ya kufungua rasmi tawi jipya la Benki ya NMB Chamwino Mkoani Dodoma. Mkuu wa Wilaya ya Chamwino Vumilia Nyamoga akitoa kitambaa ikiwa ni ishara ya ufunguzi rasmi wa Tawi jipya la Benki ya NMB la Chamwino Mkoani Dodoma.

Related

Biashara 3015118056712896196

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item