BURIAN ANATOLIA NSEKA KAPUMZIKE KWA AMANI MAMA YETU | LUKAZA BLOG

BURIAN ANATOLIA NSEKA KAPUMZIKE KWA AMANI MAMA YETU

Mama Anatolia Nseka enzi za uhai wake  Waombolezaji wakiwa wamebeba jeneza lenye mwili wa Mama Anatolia Nseka kuingiza nyumbani kwake...

Mama Anatolia Nseka enzi za uhai wake
 Waombolezaji wakiwa wamebeba jeneza lenye mwili wa Mama Anatolia Nseka kuingiza nyumbani kwake Tabata Barakuda jijini Dar es Salaam jana baada ya kutoka Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, ulikokuwa umehifadhiwa baada ya kufariki dunia Tarehe 30-8-2017 katika hospitali hiyo alikokuwa amelazwa kwa matibabu. Mama Nseka mazishi yake yanatarajiwa kufanyika leo Makaburi ya Kinyerezi.
 Baadhi ya ndugu zake mama Nseka wakilia baada ya mwili huo kuwasili nyumbani kwake. Hakika ni huzuni kubwa kumpoteza mpendwa wetu.
 Vilio vikiendelea.
 Mwili ukishushwa kutoka katika gari maalumu ukitokea Hospitali ya Muhimbili.
 Mwili ukiingizwa ndani.
 Ni huzuni kubwa.
Jeneza likiingizwa nyumbani kwake.

Related

Kijamii 8497688572594042188

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item