HOME GYM WAFIKISHA MIAKA 19 KWA KISHINDO,WAWAASA WAKAZI WA DAR ES SALAAM KUPENDA KUFANYA MAZOEZI | LUKAZA BLOG

HOME GYM WAFIKISHA MIAKA 19 KWA KISHINDO,WAWAASA WAKAZI WA DAR ES SALAAM KUPENDA KUFANYA MAZOEZI

Home Gym Mwenge yafikisha miaka 19 kwa kishindo. Weekend iliyopita ilishuhudia Home Gym Mwenge moja ya Gym maarufu ya mazoezi ya viungo j...

Home Gym Mwenge yafikisha miaka 19 kwa kishindo. Weekend iliyopita ilishuhudia Home Gym Mwenge moja ya Gym maarufu ya mazoezi ya viungo jijini Dar es salaam ikitimiza miaka 19 yangu ianzishwe. 
Sherehe hizo zilifanyika kwenye viwanja vya Shule ya wanasheria jijini na kuhudhuriwa na Mamia ya watu. Akiongea wakati wa sherehe hizo mwanzilishi na mmiliki wa Gym hiyo Andrew Mango alishukuru wanachama wa Gym hiyo na Wadhamini. 
Pia aliwataka wakazi wa Dar es salaam kupenda kufanya mazoezi ili kujenga afya bora.

Related

Michezo 5665414804919392806

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item