KAMISHNA MKUU TRA AFANYA ZIARA YA KIKAZI TBL | LUKAZA BLOG

KAMISHNA MKUU TRA AFANYA ZIARA YA KIKAZI TBL

Mkurugenzi Mtendaji wa TBL Group, Roberto Jarrin (kulia) akimkaribisha Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Charles Kiche...

Mkurugenzi Mtendaji wa TBL Group, Roberto Jarrin (kulia) akimkaribisha
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Charles Kichere wakati alipoongoza ujumbe wa Maofisa Waandamizi wa taasisi hiyo katika ziara ya kikazi katika kiwanda cha Bia cha Tanzania Breweries Limited, kilichopo Ilala jijini Dar e Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa TBL Group, Roberto Jarrin (aliyesimama) akielezea ujumbe wa Kamishna Mkuu wa TRA utendaji kazi wa kampuni hiyo.
Meneja wa Afya na Usalama sehemuya kazi wa TBL Group, Renatus Nyanda (kushoto) akimweleza Kamishna Mkuu wa TRA (Kulia) na ujumbe wake utekelezaji wa kanuni za usalama wa kampuni kabla ya kuanza ziara ya kutembelea kiwanda ,wa pili kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa TBL,Roberto Jarrin.
Kamishna Mkuu wa TRA na ujumbe wake wakipata maelezo ya mchakato wa kutengeneza bia kutoka kwa Meneja wa Kiwanda cha TBL cha Ilala-Calvin Martin.
Mtaalam wa kuonja bia wa TBLGroup, Rebecca Semoka, (kushoto) akimweleza Kamishna Mkuu wa TRA na ujumbe wake mchakato wa kuonja ubora wa radha ya bia kabla ya kuingia kwenye masoko.
Mkurugenzi Mtendaji wa TBL Group,Roberto Jarrin ( wa nne kulia) na Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya MapatoTanzania (TRA) Charles Kichere ( wa tatu kushoto ) wakiwa katika picha ya pamoja na Maofisa Waandamizi wa TBL na TRA wakazi wa ziara ya kikazi ya watendaji wa TRA katika kiwanda hicho.

Related

kitaifa 5915640832235589719

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item