KAMPUNI YA BIMA YA MGen INSURANCE YATOA MSAADA WA MASHINE MBILI ZA KIPIMA KIWANGO CHA HEWA NA MAPIGO YA MOYO KWA WATOTO WACHANGA HOSPITALI YA MWANANYAMALA | LUKAZA BLOG

KAMPUNI YA BIMA YA MGen INSURANCE YATOA MSAADA WA MASHINE MBILI ZA KIPIMA KIWANGO CHA HEWA NA MAPIGO YA MOYO KWA WATOTO WACHANGA HOSPITALI YA MWANANYAMALA

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Bima ya MGen Insurance Tanzania ya jijini Dar es salaam Bw. Charles Sumbwe akikabidhi msaada wa mashine...

1
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Bima ya MGen Insurance Tanzania ya jijini Dar es salaam Bw. Charles Sumbwe akikabidhi msaada wa mashine mbili za Kupima Kiwango cha Hewa na Mapingo ya Moyo kwa Watoto wachanga (Pulse Oxmeter) kwa Daktari Bingwa wa Watoto katika hospitali ya Mwananyamala Dkt. Elnestina Mwipopo leo jijini Dar es salaam, Kampuni hiyo imetoa mashine hizo zenye thamani ya shilingi milioni 2.8 na vitu mbalimbali kwa ajili ya watoto katika hospitali hiyo jumla ya msada wote ni shilingi milioni 3.8.(PICHA NA JOHN BUKUKU-FULLSHANGWE-DAR ES SALAAM)
2
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Bima ya MGen Insurance Tanzania ya jijini Dar es salaam Bw. Charles Sumbwe akikabidhi msaada wa Vifaa mbalimbali vya kuwahudumia watoto kwa Daktari Bingwa wa Watoto katika hospitali ya Mwananyamala Dkt. Elnestina Mwipopo leo jijini Dar es salaam, Kampuni hiyo imetoa mashine hizo zenye thamani ya shilingi milioni 2.8 na vitu mbalimbali kwa ajili ya watoto katika hospitali hiyo
3 4
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Bima ya MGen Insurance Tanzania ya jijini Dar es salaam Bw. Charles Sumbwe na Daktari Bingwa wa Watoto katika hospitali ya Mwananyamala Dkt. Elnestina Mwipopo mara baada ya kukabidhiana msaada wa mashine mbili za Kupima Kiwango cha Hewa na Mapingo ya Moyo kwa Watoto wachanga (Pulse Oxmeter) kwa leo jijini Dar es salaam.
5
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Bima ya MGen Insurance Tanzania ya jijini Dar es salaam Bw. Charles Sumbwe akifafanua jambo kwa waandishi wa habari mara baada ya kukabidhi misaada hiyo.
6
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Bima ya MGen Insurance ya jijini Dar es salaam Bw. Charles Sumbwe akifafanua jambo kwa waandishi wa habari mara baada ya kukabidhi misaada hiyo wa pili kutoka kulia ni Lugano Mkisi Mkuu wa Masoko Kampuni ya Bima ya MGen Insurance Tanzania.
7
Baadhi ya wafanyakazi wa Kampuni ya Bima ya MGen Insurance ya jijini Dar es salaam wakiwa katika hospitali ya Mwananyamala tayari kwa kukabidhi misaada hiyo.
8
Baadhi ya wafanyakazi wa Kampuni ya Bima ya MGen Insurance ya jijini Dar es salaam wakibeba miziogo baada ya kuwasili katika hospitali ya Mwananyamala tayari kwa kukabidhi misaada hiyo.
9
Baadhi ya wafanyakazi wa Kampuni ya Bima ya MGen Insurance ya jijini Dar es salaam wakishusha mizigo kwenye gari mara baada ya kuwasili katika hospitali ya Mwananyamala tayari kwa kukabidhi misaada hiyo.

Related

Biashara 4773417291027952780

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item