Mara Paaap! Tigo Fiesta TAMADUNIKA 2017 ndani ya Tabora | LUKAZA BLOG

Mara Paaap! Tigo Fiesta TAMADUNIKA 2017 ndani ya Tabora

Kikundi cha ngoma za utamaduni cha Hekima mkoani Tabora  kikionesha umahiri wa kucheza ngoma kwenye maonesho ya kucheza ngoma za  utamadun...

Kikundi cha ngoma za utamaduni cha Hekima mkoani Tabora kikionesha umahiri wa kucheza ngoma kwenye maonesho ya kucheza ngoma za utamaduni za Tigo Fiesta Tumekusoma ‘TAMADUNIKA’ kwenye viwanja vya Taasisi(sanamu ya Mwl.Nyerere) Tabora mapema jana

Kikundi cha ngoma za utamaduni cha Hekima mkoani Tabora kikionesha umahiri wa kucheza ngoma kwenye maonesho ya kucheza ngoma za utamaduni za Tigo Fiesta Tumekusoma ‘TAMADUNIKA’ kwenye viwanja vya Taasisi(sanamu ya Mwl.Nyerere) Tabora mapema jana.

Mshehereshaji  wa Tigo Fiesta ‘TAMADUNIKA’  Mc Kicheko akifanya
yake.


Kikundi cha ngoma za utamaduni cha Mapambano mkoani Tabora kikionesha umahiri wa kucheza ngoma kwenye maonesho ya kucheza ngoma za utamaduni za Tigo Fiesta Tumekusoma ‘TAMADUNIKA’ kwenye viwanja vya Taasisi(sanamu ya Mwl.Nyerere) Tabora leo.


Related

Burudani 3743668460992325803

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item