QNET kuongeza mauzo ya moja kwa moja na kuunda fursa za ujasiriamali Tanzania | LUKAZA BLOG

QNET kuongeza mauzo ya moja kwa moja na kuunda fursa za ujasiriamali Tanzania

Kutoka kushoto, Mshauri wa bodi ya QNET David Sharma,  Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mheshimiwa Ha...


Kutoka kushoto, Mshauri wa bodi ya QNET David Sharma, Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mheshimiwa Hamisi Kigwangalla, Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji Dk. Adelhem Meru na meneja mkuu wa QNET-Tanzania Benjamin Mariki wakikata utepe wakati wa ufunguzi wa ofisi ya shirika hilo niching mapema jana.


 Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mheshimiwa Hamisi Kigwangalla, Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji Dk. Adelhem Meru Mshauri wa bodi ya QNET David Sharma, meneja mkuu wa QNET-Tanzania Benjamin Mariki wakisoma gazeti lenye biddhaa za kampuni hiyo mara baada ya wa ofisi ya shirika hilo nchini.


Mshauri wa bodi ya QNET David Sharma, akifafanua jambo mara baada ya ufunguzi wa ofisi za shirika  hilo mapema jana 


Baadhi ya wafanyakazi wa Qnet wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya ufunguzi wa ofisi hiyo hapa nchini mapema jana.

Related

kitaifa 8716558746866736973

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item