Tigo yaleta mageuzi ya elimu Mkoani Tabora Yatoa msaada wa mfumo wa elimu kwa njia ya mtandao kwa shule mbili za sekondari Tabora | LUKAZA BLOG

Tigo yaleta mageuzi ya elimu Mkoani Tabora Yatoa msaada wa mfumo wa elimu kwa njia ya mtandao kwa shule mbili za sekondari Tabora

Meneja wa Tigo kanda ya ziwa kusini, Gwamaka Mwakilembe akizungumza na waandishi wa habari na wanafunzi wa shule ya wasichana Tabora kabla...

Meneja wa Tigo kanda ya ziwa kusini, Gwamaka Mwakilembe akizungumza na waandishi wa habari na wanafunzi wa shule ya wasichana Tabora kabla ya makabidhiano ya huduma ya intaneti ya Tigo kwenye shule hiyo

Mwalimu mkuu wa shule ya wasichana ya Tabora, Lydia Mwampamba akizungumza na waandishi wa habari na wanafunzi wa shule ya wasichana Tabora kabla ya makabidhiano ya huduma ya intaneti ya Tigo kwenye shule hiyo
Kaimu Katibu Tawala mkoa Tabora, Nathalis Linuma akizungumza na waandishi wa habari na wanafunzi wa shule ya wasichana Tabora kabla ya makabidhiano ya huduma ya intaneti ya Tigo kwenye shule hiyo

Kaimu Katibu Tawala mkoa Tabora, Nathalis Linuma akikata utepe kuzindua huduma ya Tigo eSchool shule ya sekondari wasichana Tabora. Kulia mkuu wa shule, Lydia Mwampamba , kushoto Afisa elimu mkoa, Suzana Nyarubamba na nyuma Meneja wa Tigo kanda ya ziwa kusini, Gwamaka Mwakilembe    


Related

Kijamii 261910880823012485

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item