VIDEO- BREAKING NEWS - WATU WA WILI WAMEFARIKI DUNIA KATIKA AJALI YA GARI WILAYA YA NAMTUMBO MKOANI RUVUMA | LUKAZA BLOG

VIDEO- BREAKING NEWS - WATU WA WILI WAMEFARIKI DUNIA KATIKA AJALI YA GARI WILAYA YA NAMTUMBO MKOANI RUVUMA

Watu wa wili wamefariki dunia katika ajali ya gari aina ya loli lenye namba za usajili T782 CMC katika kijiji cha Utwango. Barabara ...

Watu wa wili wamefariki dunia katika ajali ya gari aina ya loli lenye namba za usajili T782 CMC katika kijiji cha Utwango. Barabara ya Songea – Namtumbo . Wilaya ya Namtumbo Mkoani Ruvuma. Waliofariki ni dereva wa Gari hilo ambaye bado hajafahamika jina lake mwingine ni kondakta wa gari hilo aliyejulikana kwa jina la Abiud Daudi

Related

kitaifa 4244151058058995488

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item