Wasanii wa Tigo Fiesta watembelea shule ya sekondari Nganza jijini Mwanza na kutoa elimu ya kujitambua. | LUKAZA BLOG

Wasanii wa Tigo Fiesta watembelea shule ya sekondari Nganza jijini Mwanza na kutoa elimu ya kujitambua.

Msanii Ommy Dimpoz akipamtia zawadi ya pesa taslimu ya shilingi 50,000/-mwanafunzi bora wa kidato cha sita wa shule ya sekondari Nganza ...


Msanii Ommy Dimpoz akipamtia zawadi ya pesa taslimu ya shilingi 50,000/-mwanafunzi bora wa kidato cha sita wa shule ya sekondari Nganza jijini Mwanza, Glory Wilfred wakati wasanii wa Tigo Fiesta walipotembelea shule hiyo juzi  kwenye programu  ya  kuelimisha wanafunzi  msimu huu wa Tigo Fiesta ijulikanayo kama ‘Kipepeo’.


Msanii Alli Kiba akizungumza na wanafunzi wa shule ya sekondari Nganza iliyopo Mwanza juzi  kwenye programu  ya  kuelimisha wanafunzi  msimu huu wa Tigo Fiesta ijulikanayo kama ‘Kipepeo’.
Wasanii wakiwa wamesimama kusali pamoja na wanafunzi  wa shule ya Nganza, maombi yaliyoombwa na mmoja kati ya wanafunzi wa shule hiyo(hayupo pichani)


Msanii Alli Kiba akizungumza na wanafunzi wa shule ya sekondari Nganza iliyopo Mwanza juzi  kwenye programu  ya  kuelimisha wanafunzi  msimu huu wa Tigo Fiesta ijulikanayo kama ‘Kipepeo’.
Msanii Ray Vanny akisalimiana na wanafunzi wa shule ya sekondari Nganza jijini Mwanza mara baada ya kumaliza programu ya Kipepeo.

Msanii  Roma Mkatoliki akizungumza na wanafunzi wa shule ya sekondari Nganza iliyopo Mwanza juzi  kwenye programu  ya  kuelimisha wanafunzi  msimu huu wa Tigo Fiesta ijulikanayo kama ‘Kipepeo’.

Msanii Saida Karoli akiwapungia mikono kwa wanafunzi wa shule ya sekondari ya Nganza .


Msanii Ray Vanny akipiga picha ya pamoja na wanafunzi wa shule ya sekondari Nganza .


Sehemu ya wanafunzi wakifuatilia  progamu ya Kipepeo.

Wasanii wakiwa wamesimama kusali pamoja na wanafunzi  wa shule ya Nganza, maombi yaliyoombwa na mmoja kati ya wanafunzi wa shule hiyo(hayupo pichani)Wasanii wakiondoka mara ya kumaliza programu yao ya kuelimisha wanafunzi jinsi ya kujitambua maishani , wakati wa shule na baada ya shule.

Related

Burudani 3160634753770855712

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item