MAMIA WAJITOKEZA KUMUAGA MAMA HAPPYFANIA KOMBA KIJICHI JIJINI DAR ES SALAAM | LUKAZA BLOG

MAMIA WAJITOKEZA KUMUAGA MAMA HAPPYFANIA KOMBA KIJICHI JIJINI DAR ES SALAAM

 Marehemu Happyfania Komba enzi za uhai wake. Happyfania Komba alifariki dunia usiku wa kuamkia jana akiwa usingizini na mazishi yake yat...

 Marehemu Happyfania Komba enzi za uhai wake. Happyfania Komba alifariki dunia usiku wa kuamkia jana akiwa usingizini na mazishi yake yatafanyika kesho Tunduru mkoani Ruvuma.

 Mwili wa marehemu ukiagwa.
 Mtoto wa marehemu, Exavery Komba akisaidiwa na wenzake wakati akitoa heshima za mwisho kwa mama yake.
 Shangazi yake marehemu Winfrida Komba akilia kwa uchungu wakati wa kumuaga mpendwa wake.

Related

Kijamii 4734335907626074974

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item