MAONESHO YA WIKI YA HUDUMA ZA FEDHA NA UWEKEZAJI YAFANA DAR | LUKAZA BLOG

MAONESHO YA WIKI YA HUDUMA ZA FEDHA NA UWEKEZAJI YAFANA DAR

 Ssehemu ya wananchi wakitoka kwenye semina ya ufugaji bora wa samaki wakati wa Maonesho ya Wiki ya Huduma za Kifedha na Uwekezaji iliyo...

 Ssehemu ya wananchi wakitoka kwenye semina ya ufugaji bora wa samaki wakati wa Maonesho ya Wiki ya Huduma za Kifedha na Uwekezaji iliyoandaliwa na Taasisi ya NUEBRAND EC kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es Salaam. PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG Joachim Komba wa Taasisi ya Eden Agri, akitoa elimu ya ufugaji bora wa samaki na faida zake wakati wa semina iliyofanyika  wakati wa wiki ya Huduma za Kifedha na Uwekezaji

 Wajasiriamali wakiata maelezo kuhusu ufugaji bora wa samaki aina ya kambare  waliokuwa wakioneshwa katika banda hilo la Eden Agri

 Wananci wakiwa banda la NSSF

 Wajasiriamali wakipata maelezo ya jinsi ya kunufaia na Benki ya NMB kuhusu mikopo mbalimbali

 Ofisa wa Benki ya Watu wa Zanzibar,Aisha Ali Mohammed akimpatia maelezo mkazi wa Jiji kuhusu huduma mbalimbali zinazotolewa na benki hiyo

 Maofisa wa Taasisi ya Nuru wakitoa maelezo  kwa wananchi kuhusu huduma mbalimbali zinazotolewa na taasisi hiyo

 Wajasiriamali wakisikiliza maelezo kutoka kwa maofisa wa Mtandao wa Kijani Kibichi Tanzania (MKIKITA), Neema Fredrick (kushoto) na Godfrey Mshomari kuhusu bidhaa mbalimbali zinazotengenezwa na wajasiriamali wanachama wa mtandao huo. Aliyekaa ni Happiness Mshana.

 Ofisa Mkuu wa Elimu kwa Huduma kwa Mlipa Kodi wa TRA, James Mtalika (Kushoto), akitoa maelezo kuhusu huduma mbalimbali zinazotolewa na mamlaka hiyo wakati wa maonesho hayo

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Irene Isaka akifafanua jambo kwa wajasiriamali kuhusu utendaji wa mamlaka hiyo

 Meneja Uhusiano wa Mtandao wa Kijani Kibichi Tanzania (MKIKITA), Neema aktoa mafunzo kuhusu ulimaji bora wa kilimo cha mchaichai kinachoendeshwa na mtandao huo

 Mabanda ya taasisi zilizoshiriki kwenye maonesho hayoMaofisa wa Vicoba ambao ni sehemu ya wawezeshaji wa maonesho hayo

Related

kitaifa 5213934976004584031

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item