RC SHIGELLA AFUNGUA MKUTANO WA BARAZA KUU LA 47 LA WAFANYAKAZI WA TANESCO NCHINI MJINI TANGA LEO | LUKAZA BLOG

RC SHIGELLA AFUNGUA MKUTANO WA BARAZA KUU LA 47 LA WAFANYAKAZI WA TANESCO NCHINI MJINI TANGA LEO

 Mkuu wa Mkoa wa Tanga,Martini Shigella akifungua Baraza kuu la 47 la Wafanyakazi wa Shirika la Umeme nchini Tanzania (Tanesco) uli...

 Mkuu wa Mkoa wa Tanga,Martini Shigella akifungua Baraza kuu la 47 la Wafanyakazi wa Shirika la Umeme nchini Tanzania (Tanesco) uliofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa mjini Tanga kulia ni Katibu wa Baraza hilo,Asmaa Myale
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme la Tanzania (Tanesco) Dkt  Tito Mwinuka akitoa hutuba yake wakati wa ufunguzi huo uliofanyika mjini Tanga 

Mwenyekiti wa Tuico Taifa,Paul Sangeze akizungumza wakati wa Baraza hilo kushoto ni Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Tanesco,Dkt Tito Mwinukakatika mkutano huo uliofanyika mjini Tanga

Katibu wa Baraza Kuu la Wafanyakazi,Asmaa Myale akizungumza katika mkutano huo kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Tanga,Martini Shigella na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco)Dkt Tito Mwinuka  na Mwenyekiti wa wa Tuico Taifa,Paul Sangeze
 Mkuu wa Mkoa wa Tanga,Martini Shigella kushoto akipongezwa na Mwenyekiti wa Tuico Taifa,Paul Sangeze mara baada ya kufungua mkutano wa Baraza kuu la 47 la wafanyakazi wa Shirika la Umeme nchini Tanzania (Tanesco) leo mjini Tanga anayeshughudia ni Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika hilo,Dkt Tito Mwinuka  kushoto ni Katibu wa Baraza kuu la wafanyakazi,Asmaa Myale

 Baadhi ya wajumbe wa baraza hilo wakifuatilia kwa umakini hotuba ya Mkuu wa Mkoa wa Tanga,Martin Shigella
Sehemu ya wajumbe wa mkutano huo wakiufuatilia kwa umakini


Wajumbe wa mkutano huo wakifuatilia kwa umakini mkutano huo
Kaimu Meneja Uhusiano wa Tanesco Tanzania,Leila Muhaji wa pili kushoto
aliyevaa koti jeusi akichukua baada ya dondoo wakati Mkuu wa Mkoa wa
Tanga,Martini Shigella alipofungua Baraza Kuu la 47 la Wafanyakazi wa
Tanesco nchini mjini Tanga

Mkuu wa Mkoa wa Tanga,Martini Shigella kulia akitoa nje ya ukumbi mara
baada ya kufungua baraza hilo kushoto ni Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa
Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco)Dkt Tito Mwinuka katikati ni
Mwenyekiti wa TUICO Taifa Paul Sangeze 


 Mkuu wa Mkoa wa Tanga,Martini Shigella katikati akiwa kwenye picha ya pamoja na viongozi wa Tanesco kulia ni Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika hilo,Dkt Tito Mwinuka kushoto ni Katibu wa Baraza Kuu la Wafanyakazi,Asmaa Myale mara baada ya kufungua mkutano wa baraza kuu la 47 la wafanyakazi wa Tanesco
 Picha ya pamoja na wafanyakazi wa Shirika hilo mara baada ya kufungua baraza kuu hilo
 Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) Dkt Tito Mwinuka kushoto akiagana na Mkuu wa Mkoa wa Tanga,Martini Shigella mara baada ya kufungua mkutano wa Baraza Kuu la 47 la Wafanyakazi wa Tanesco
 Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Tenesco,Dkt Tito Mwinuka akiuzungumza na waandishi wa habari mara baada ya kufunguliwa kwa mkutano wa baraza hilo leo na Mkuu wa Mkoa wa Tanga,Martini Shigella
Katibu wa Baraza Kuu la Wafanyakazi,Asmaa Myale akizungumza na waandishi wa habar,Habari kwa Hisani ya Blog ya Kijamii ya Tanga Raha.

Related

kitaifa 597061680373586475

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item